7/27/2018

Jesus Will Take Over The Church




Generally the word church can have two main meanings

Referring to a building
The church is a building used for worship and believing people in Christ Jesus.

It refers to the body of Christ
The second meaning refers to the body of Christ, that is, people who have Christ Jesus as their Lord and Savior.

Pamoja na kwamba watu wengi ukitaja kanisa basi haraka wataelewa ile maana ya kwanza lakini mtazamo wa biblia juu ya kanisa umejikitanzaidi katika maana ya pili kama tusomavyo katika Wakolosai 1:18 “Naye ndiye kichwa cha mwili, yaani, cha kanisa; naye ni mwanzo, ni mzaliwa wa kwanza katika wafu, ili kwamba awe mtangulizi katika yote”. Unaona lile neno kichwa cha mwili yaani “kanisa” Biblia inatuambia kuwa Yesu ndiye kichwa cha mwili huu mwili ni kanisa, lakini swali hapa ni huu uitwao mwili yani kanisa ni kitu gani hasa? Jawabu la swali hili tunalipata katika 1wakoritho 12: 27 “Basi ninyi mmekuwa mwili wa Kristo, na viungo kila kimoja peke yake ”. Kumbe huu mwili ambao Kristo amekuwa kichwa ni miili au kusanyiko la watakafu (wanafunzi wa Yesu),hivyo basi ni veema kuelewa kuwa biblia ikitaja kanisa kwa sehemu kubwa sana ina maana ya kusanyiko la watakatifu.

Katika jamii yetu leo tuna makanisa mengi sana yanayotuzunguka kama Moraviani,Angrikana,Baptist,EAGT Ruthelani na mengine ambayo sijayataja hapa ikiwa ni pamoja na huduma mbalimbali waaminio katika Kristo Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wao, Yohana 14:6 “Yesu aka wambia,
Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi”.
Majina yote hayo hayaondoi ukweli kwa hawa wote ni mwili wa kristo ikiwa tu wanamaanisha toka ndani ya mioyo yao kile wanacho kiri mbele za Mungu na mbele za watu pia. Naweza kusema kuwa haya yote ni malango ya kuingia katika mji mpya yaani kumwona Mungu maana imeandikwa kuwa Mathayo 5:8 “Heri wenye moyo
safi; Maana hao watamwona Mungu”. Naamini siku ile ya unyakuo Yesu hataangalia madhebu yetub bali wenye moyo safi.hivyo wapo watubwenye moyo safi toka Baptist church watachomoka na kumwona Mungu na wengine wasio na mioyo safi watabaki,weingine wenye mioyo safi watachomoka toka makanisa ya kipentekosti wenye moyo safi watamwona Mungu na wengine wataoka makanisa megine wenyemoyo safi watamwona Mungu. Napenda ieleweke kuwa hatutamwona Mungu kwa sababu ya kanisa au mahali ninapoabudu au cheo  bali moyo safi ni tiketi ya kumwona Mungu. Kumbuka kuwa Yesu hata nyakua watu kufuta makanisa yetu haya bali wale wenye moyo safi wasio yatia mavazi yao uchafu Ufunuo wa Yohana 3:4 Lakini unayo majina machache katika Sardi, watu wasioyatia mavazi yao uchafu. Nao watakwenda pamoja nami hali wamevaa mavazi meupe, kwa kuwa wamestahili.

Cha kushangaza leo hii watu tumekuwa tukijivunia madhebu yetu,tunajivunia watumishi kana kwamba wana mbingu ya kutupeleka? Utasikia mkristo anasema mimi nasali kwa Fulani mwenye upako si kama wewe unasali makanisa yasiyo ya kiroho, mmh mpendwa yametoka wapi haya? Leo hii bila aibu watu wanashangilia inapotoe kanisa hili kuna ugonvi au mchungaji amefanya jambo lisilo la kawaida watu wanashangilia, utasikia tulisema bwana hao hawana Roho Mtakatifu na bado, badala ya kuwaombea Mungu aponye Roho zitakazo angamia kutokana na jambo lililo jitokeza wewe unashangilia na bado unajiita mkristo mmh AIBU!.Nasema aibu tena aibu sana maana tunasoma kuwa sisi sote tumekuwa kiugo cha mwenzake 1 Wakorintho 12:1-14 “Maana kama vile mwili ni mmoja, nao una viungo vingi, na
All the members of the body, though many, are one body; likewise with Christ. For by one Spirit are we all baptized into one body, whether we be Jews, or we are Gentiles; whether we are slaves or if we are free; and we were all drunk of the Spirit
For the body is not one member, but many.  Yes, all of the members in one body, the church, must feel sorry for our fellow believers when something bad happens to us. Now my colleague what makes you celebrate the church (A) when it comes to something shameful, for we have said that in one Spirit we were all baptized into one body, that we were Jews, or that we were Gentiles; whether we are slaves or if we are free; and we were all made to drink of one Spirit. For the body is not one member, but many.
We got so bad today that you will find a Christian watching an advertisement for a Gospel Conference or a seminar instead of spending a minute or so saying Jesus help these people in this ministry. Sometimes there are spiritual leaders who feel that the ministry (Z) has organized a seminar and they are organizing theirs very quickly to make sure their members do not attend the bad seminar. for we have more than one church here.
In some cases the apostle Paul rebuked his contemporaries for refusing to call myself a preacher and said he was a florist, Paul rebuked these people by saying, "For when one saith, I am of Paul; and another, I am of Apollos; Are you not humans? Who, then, is Apollos? And who is Paul? They are ministers of whom you believed; and every man as the Lord gave him. I planted, Apollos watered; but he that exalteth is God ”(1 Corinthians 3: 5).
You have seen the words of Paul, he refuses to be separated from others because of the servants he has brought to the gospel, he says to remember that with Paul and Apollos to water but what he caused to grow is God alone so it is not only good to look at their servants but to look at the only God.
You know you can not tell them you have dishonored you behold is the main function in the body of Christ, though they do not respect your eyes or pa community remember this word 1 Corinthians 12:22 " But much more those members of the body which seem to be more ignoble vyahitajiwa Zaid"Perhaps I should say with a simple illustration that we all see big and healthy trees, we often admire its fruit, its attractive leaves, its beautiful flowers and the admiration of the beautiful shade made by these trees. prosperity remember without a great root there is no beauty of a tree but a tree to die and perish. Do not rejoice, brethren, for the falling of one another, or the ministry of one another, for they are one body; We read that by the blood of Jesus we who are far and near were joined (many or more) to become one in Christ Jesus through the atonement through His Blood. Ephesians 2:14For he is our peace, who has made both of us one; and tore down the middle bar which separated us ”.

It is my advice to you that all of us who believe in Christ Jesus have become part of one another as the scripture says 1 Corinthians 12:26 “ And if one member suffers, all the members suffer with it;
if one part is honored, every part rejoices with it ”. so my injury is your injury too, dear let's not stop bragging ourselves but stop fighting the faith, the devil wins us because he has divided us into different classes, everyone fights for themselves but this is not the purpose of our God. Jesus did not pray for us to be partial but to pray for us in unity saying John 17:21 “Let all have
unity; as thou, Father, art in me, and I in thee; Let them also be in us; that the world may believe that thou hast sent me .
I believe there is something you have learned in this lesson is the prayer that the Holy Spirit will be with you as you continue to study this subject in your Bible and help you apply it to the practices you have learned. guests

Samuel

Author & Editor

I am not a pastor or prophet but just a messenger of God who by his grace has been sent to this generation to tell you about God kingdom and his love to all nations.I pray God that may grant you the grace to understand and apply it in your life all you have read here.